Kwa wale msiokumbuka au kufahamu, video hiyo ya “You Guy” by P Unit
ilipigwa marufuku kuonyeshwa na Citizen TV kwa kuwa too sexy, kitu
ambacho kilichangia kwa kiasi kikubwa umaarufu wa Vera kukua, sababu
baadhi ya watu walidhani Vera’s “big booty” na tako lake lilivyonadiwa
kwenye video hiyo ndicho kilichosababisha Citizen TV kuchukua hatua
hiyo.![23[1]](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_stUFM55e1OEjA3xD15ywLHf-5-G1f2NwmKkl5uPQrmmIFEWX3yuCf6mGcIsyoqm9tteKp_JckQCf91Nezk_WmzVRWTOm5jfQ_XjD5BUyqa=s0-d)






0 Comments:
Post a Comment