Furaha ya burudani ya miaka
ilee sasa imerejea. Melegendari sasa wamekiri kuwa walichokikosa kwa muda
mrefu, sasa kinapatikana isumba lounge -jollies club kila ijumaa na j'mosi. Ni
katika night of the legends na DJ John Dillinga aka The Legend is Back, DJ Fast
Eddy na DJ Young Kelvin. Njoo ujumuike na malegendari wenzako ukumbukie wakati
muziki ukiitwa muziki. Milango iko wazi saa 3 usiku, kiingilio 10,000/-. Karibu
sana. 4 more info or comments like facebook page @www.facebook.com/pages/DJ-JD
or follow instagram @DJJDTHELEGEND







0 Comments:
Post a Comment