Polisi ilibidi wafanye kazi ya ziada, masela walikwidwa sana
Mwili ukatolewa
Hapa ndio rasmi watu wakaanza kuamini kwamba kamanda amepumzishwa
Safari ikaanza
Gari lililobeba mwili likiwa mikobnoni mwa raia
Ilikuwa ngumu kuzuia hisia...
Mchizi Mox akiwa amekamatia msalaba wa mchizi wake
Mbio njia nzima
Imeandikwa na Henry Mdimu wa http://mdimuz.blogspot.com






0 Comments:
Post a Comment