Mkuruganzi
mtendaji wa Benchimark Production Rita Paulsen,Akizungumza na waandishi wa
habari katika uzinduzi wa uzinduzi wa msimu wa saba wa Epiq Bongo Star Search
Jana jijini Dar es salaam(kushoto)ni Afisa bihashara mkuu wa Zantel Sajid
Khan.
Afisa
bihashara mkuu wa Zantel Sajid Khan,Akizungumza na waandishi wa habari katika
uzinduzi wa uzinduzi wa msimu wa saba wa Epiq Bongo Star Search Jana jijini Dar
es salaam(kulia)ni Mkuruganzi mtendaji wa Benchimark Production Rita
Paulsen.
Mshindi wa
Epiq Bongo Star Search wa msimu
wa sita Walter Chilambo,
Akizungumza na waandishi wa habari katika uzinduzi wa msimu wa saba wa Epiq Bongo Star Search kuwahamasisha
vijana kujitokeza kwa wingi kushiriki Jana jijini Dar es salaam(kulia)ni Afisa
bihashara mkuu wa Zantel Sajid Khan.






0 Comments:
Post a Comment