Producer mkongwe katika game hii ya muziki, P-Funk Majani
nae ameonesha ni jinsi gani alivyoguswa na na tukio hili la kuondokewa
na msanii ambaye alikuwa ni rafiki yake wa karibu sana marehemu Albert Mangwair …
Majani ni producer pekee ambaye alishiriki kwa kiasi kikubwa kwa kuweza kufanya rapper Ngwair kutambulika katika game ya muziki wa Bongo Flava …
Akiongea na mwandishi wetu kutoka GongaMx.Com, Majani ameeleza utayari wake katika kushirikiana na familia ya marehemu Albert Mangwair mpaka rafiki yake huyo atapozikwa …
Mcheki MAJANI akiwa anaongelea suala zima kuhusina na msiba huu na utayari wake katika kushiriki …

Source:http://gongamx.com

0 Comments:
Post a Comment