Tuesday, May 28, 2013
Ngwea
akiwa na msanii M to the P jana south africa.mtu wa karibu anasema
walitakiwa kurudi Dar leo lakini waliwakuta wamezima kwenye room wote
wawili baada ya kuji overdose madawa ya kulevya na M to the P yupo hoi
hospitali ila bado tunafuatilia habari hizo kama kweli ni dawa au la
0 Comments:
Post a Comment