Mambo vipi wadau,
Video mpya ya mdogo wetu ambae anaasili ya Tanzania aishie Australia LIL CRISZZY ndo hii hapa imetoka leo hii.
WORK MUSIC VIDEO-LIL CRISZZY
Nawaombeni muweze kuiweka kwa blogs/site zenu. na watu wa Tv NGOMA NDO HIYO SASA.
Pia itaanza kupatikana TRACE/ CHANNELOTV & MTV AFRICA next work.
Kwa info zaidi kuhusu Lil Criszzy kindly contact me.
0 Comments:
Post a Comment