Tuesday, May 21, 2013

MeccaCheka Ft Gnako

Wanakuja tena baada ya collabo heavy na Nakaaya -Darasa Huru,Si wengine bali ni "MeccaCheka" na track mpya kabisa iloundwa pande za www.noizmekah.com wakimshirikisha mkali toka Weusi mzee mzima Gnako katika ngoma waloipa Jina "SOMA" Almando Mwiro & Almando Rizzy wkiwa ndio waasisi wa MeccaCheka Crew wana Mengi kwa Washabiki wa Muzika wa Muziki hapa Bongo na Duniani Kote, Pata kuusikiliza HAPA na kwa mawasiliano zaidi piga simu +255 763 941 893 au +255 715 652 878 Powered by www.vmgafrica.com
----------------------------------
http://www.hulkshare.com/dd93xone44jk

0 Comments: