Saturday, April 6, 2013

REUBEN MCHOME BLOG

Habari Wadau,
Napenda kuwafahamisha juu ya Blog mpya ya Habari za michezo na burudani kwa ujumla wake.
Humu utapata updates za mambo mbalimbali kitaifa ikiwa ni habari kutoka karibu mikoa yote ya Tanzania na kimataifa.
Naomba ushirikiano wenu

KARIBUNI WOTE
Reuben Mchome,
Presenter - ITV/RADIO ONE

0 Comments: