Habari,
Napenda kuwafahamisha juu ya Blog mpya inayohusu mambo mbalimbali
yanayoambatana na injili. Yakiwemo masomo mazuri ya kutujenga
kiroho,nyimbo mpya za injili,video na shuhuda.
Tafadhali tembelea hata mara moja kwa siku.
HII NI KWA WOTE BILA KUJALI DINI WALA DHEHEBU
www.injilitanzania.blogspot.com
0 Comments:
Post a Comment