Hi, Ningependa kushare cover hili la jarida letu jipya la Mzuka. Kwa
marafiki zangu wenye blog ntashukuru kama mkilipa shavu kwa kupost.
Jarida la Mzuka la mwezi April linaloandaliwa na Bongo5 Media Group
limetoka huku likiwa na cover story ya kundi jipya la akinadada warembo
wa Shosteez.
Katika cover hiyo Shosteez wamefunguka mengi kuanzia jinsi
walivyokutana na Lamar, historia ya familia zao na jinsi ambavyo wote
wamekua bila kuwa na baba zao, maisha ya ustaa na jinsi wanavyosumbuliwa
na wanaume, uhusiano, muziki na mambo mengi kibao.
Pia kuna story kibao kama wanamumuziki wa kike Tanzania wenye mvuto
zaidi, mastaa 10 wa kiume Tanzania wanaopiga pamba kali zaidi, madj 10
wa kike Afrika wenye mvuto zaidi, nani aliyeanzisha jina Bongo Flava na
historia yake, makosa yanayofanyika kwenye filamu za kibongo na
wasichana 8 wapya watakaoupeleka muziki wa Tanzania kimataifa.
Zingine ni pamoja na One on One na Rose Ndauka, Nani zaidi kati ya Sam
Misago na B Bozen? (wananchi wameongea). Uchambuzi wa wimbo wa Ney wa
Mitego na Diamond – Muziki Gani, Makala kumhusu Navio wa Uganda, bila
kusahau Kona ya Mjasiriamali ambapo Patrick Ngowi (mtanzania aliyetajwa
na jarida la Forbes miongoni mwa wajasiriliamali bora 30 waliochini ya
miaka 30 - 2013) pamoja na picha kali za matukio mbalimbali ya burudani.
Kopi ni shilingi 3,000. Ili kupata nakala yako wasiliana na
fred@bongo5.com ama simu 0765537130.
Thanks.
Fredrick Bundala aka Skywalker.
Head of Content, bongo5.com

0 Comments:
Post a Comment