Nilikutana na Jordan miaka mitano iliyopita,"bro,mi naweza sana,naomba
tufanye kazi pamoja",haya ndo maneno ya kwanza aliyosema baada ya
kuingia studio,aliomba dk chache nimskilize kabla sijaamua
chochote,alikua one of the best then na hata leo baada ya kupoteana kwa
kipindi chote ambacho nimekua masomoni bado Jordan ni one of the best
singers I've ever come across,nawashukuru wote wanaotusupport katika
safari hii tuliyoianza,nashukuru pia fans wote kwa mapokezi
wanayoyaonesha kwetu,tuna mengi ambayo tayari tumeyaandaa kwaajili
yenu,kwa niaba ya Jordan na Grandmaster,naahidi hatutawalet down,we got
lotsa love for ya,tunashukuru kwa kutupa moyo na kwa kutufikisha
tulipo-John Blass(John B),Grandmaster Records Arusha
Download Link; http://www.hulkshare.com/dl/mro7fhwflla8
Song Credits
Song;Mapenzi Vita
Artist;Jordan aka Kanyonga Kitu
Studio;Grandmaster Records
Producer;John Blass(John B)
Follow us;
Twitter; https://twitter.com/jordanj255
https://twitter.com/grandmastertz
Facebook;www.facebook.com/jordanj255
John Blass Mallya
For,
Grandmaster Records, Kaz Studio, Cannibal Shattah & Makini Music
+255787276352, +255754201643, +255715201643, +254729990851
www.grandrecs.com
www.prezzomusic.com
www.kazstudioarusha.blogspot.com
For,
Grandmaster Records, Kaz Studio, Cannibal Shattah & Makini Music
+255787276352, +255754201643, +255715201643, +254729990851
www.grandrecs.com
www.prezzomusic.com
www.kazstudioarusha.blogspot.com
For,
Grandmaster Records, Kaz Studio, Cannibal Shattah & Makini Music
+255787276352, +255754201643, +255715201643, +254729990851
www.grandrecs.com
www.prezzomusic.com
www.kazstudioarusha.blogspot.com
0 Comments:
Post a Comment