Thursday, March 28, 2013

NEW MUSIC (AUDIO) TANGANYIKA GIRL

Mambo vipi wadau,
Pata ngoma mpya hii.
Sikiliza ngoma mpya TANGANYIKA GIRL & RESPECT za SAT-B, WASHINGTON & J.I. Nyimbo zote zimefanyika Bukiv Label ya Djay Jackson na kutengenezwa na Washington jijini Stockholm nchini Sweden. Ni dancehall Banger za hatari sanaaa. Enjoy ngoma izi kwa kuzisikiliza na kuzipakua hapa: www.hulkshare.com/upload_legacy.php


--
https://twitter.com/intent/user?screen_name=JanBkiwia

0 Comments: