Huyu ndiye J One, Msanii katika mahadhi ya Bongo Flava kutoka katika mji
 wa madini Kahama. Anatambulisha Ngoma yake mpya ikiambatana na Video 
akimshirikisha Msanii wa Mwanza Baraka Prince, Ngoma Inakwenda kwa jina 
la Kisharo sharo.
Unaweza kuipata video ya J One ft Baraka Prince- Kisharo Sharo kupitia:http://www.youtube.com/watch?v=M2d-ztc6Pxo
Mukhsin K.H Mambo,
ACP Entertainment,
Star
 TV,
P.O. Box 1732,
Mwanza, 
TANZANIA.
Mobile: +255717557220/+255686525354
Email:
 mukhsink@yahoo.com
Blog: www.thebigtopten.blogspot.com 






0 Comments:
Post a Comment