Msanii Keneh amshirikisha Boywonda toka FBG kat
ika pini jipya kabisa "
TUZIRUDI"
ikiwa ni Afropop kwa wapenda Clubbing kote duniani, Wimbo huu ni
release ya pili ya kwake mwanadada huyu toka pande za Arachuga mwenye
maskani yake Nairobi Muda mwingi kutokana na kuwa katika Masomo ya ngazi
ya chuo, "Nimerecord hii song Noizmekah Studios and for sure ni kitu
tofauti sana na nyimbo zilizopo Tanzania hivyo nazidi omba support ya
fans wangu wote all over na pia Media houses zote. Download
HAPA and enjoy
0 Comments:
Post a Comment