Kwa muonekano wa ghafla waweza dhani hivyo tokana na mfanano fulani wa sura au labda pozi za picha, labda tufatilie kwa undani yawezekana kuna undugu tusioufahamu kati yao but in the mean time fanya ku-Download this new Bongo RnB song "Pride Down" produced at Noizmekah Studios ndani akiwemo Mwanadada Eslyne na sauti yake ya kinyamwezi toka Arusha Tanzania Bofya HAPA
0 Comments:
Post a Comment