Asalam aleykhum wakurugenzi,,nadhani mwamkumbuka dada huyu mzuuri aitwa
ENJII.Alishawahi kutamba na ngoma yake ya kwanza iitwayo WEWE
akimshirikisha Chidi Benz.Hapa amerudi tena na track mpya iitwayo BORA
NIENDE iliyofanyika SEDUCTIVE RECORDS kwake Producer T Touch.
DOWNLOAD
ENJII-BORA NIENDE.mp3
DOWNLOAD
ENJII-BORA NIENDE.mp3
0 Comments:
Post a Comment