Tuesday, March 19, 2013

BeeMan toka Love Child Records Kenya Alalamikia Serikali ya Tanzania

 
Msanii Aliyeimba "Embe dodo" BeeMan mwenye maskani yake Arusha amefunguka katika FaceBook Fan page yake HAPA akilalama juu ya nyimbo za wasanii wa Tanzania kutimika katika "Caller Back Tunes" bila ya idhini yao na kuwa umoja kati ya wana sanaa umedhoofika hivyo kupelekea dhuluma za wazi wazi katika Muziki..

0 Comments: