Monday, February 11, 2013

WASANII WALIOFANYA MAKAMUZI COCO BEACH KWENYE "TIGO SMILE SEASON"

 Msanii wa kizazi kipya, Herry Sameer a.k.a Mr.Blue akitumbuiza wakati wa Tamasha la “Tigo smile season” lililofanyika juzi katika Ufukwe wa Coco Beach Dar es Salaam.
  Kiongozi wa kundi la TMK Wanaume Halisi Juma Nature  akitumbuiza wakati wa Tamasha la “Tigo smile season” lililofanyika juzi katika Ufukwe wa Coco Beach Dar es Salaam.

0 Comments: