Hello Wadau,
Tunamtambulisha
msanii wa kike mpya kabisa ktk tasnia ya BongoFleva anaitwa DINA BROWN,
anaachia nyimbo yake mpya inaitwa "NIMEMPATA", imefanywa ktk Studio za
UB Record na Prodyuza Star Jay
Anaomba support kubwa kutoka kwenu ili gurudumu hili la muziki liweze kusonga
mbele
Thanx in Advance
0716452945
Dina Brown
0 Comments:
Post a Comment