Mambo vipi,
Ni
kitambo kirefu sana nimekuwa kimya kutokana na maswala ya shule ila
sasa kidogo nimetulia. NImeamua kuuachia wimbo huu unaitwa ROHO MBAYA
ambao nimewashirikisha BELLE 9 na PIPI kama zawadi yangu kwa fans wangu,
lakini official single ya mwaka huu inafuata siku si nyingi.
wimbo huu beat ilifanywa na Duke wa M-Lab na vocals zilifanywa na Tetemesha Records mwaka juzi.
Tegemeeni mengi mazuri kutoka kwangu kwa mwaka huu.
Mawasiliano yangu ni 0763 698208
0714 316745
Asanteni
Sajna







0 Comments:
Post a Comment