Kutana na Msanii Chipukizi "Gusher" anayekuja na crunk aloita "Bado wewe"
ikiwa imewalenga viongozi walopotosha maana nzima ya uongozi bora
nchini,Kijana Gusher toka panda za kaskazini mwa Tanzania amerekodi pini
pande za noizmekah,ni mwenye juhudi na malengo makubwa katika kuonyesha
kipaji chake anaomba support yenu mashabiki na wadau kwa ujumla, kupata
kuisikiliza nyimbo hii ya "BADO WEWE" bofya HAPA..na Kwa mahojiano na info zaidi cheki na Gusher kupitia 0714595068
0 Comments:
Post a Comment