Monday, December 10, 2012

DAH! HAPA TUNAENDELEZA MUZIKI AU TUNAUDIDIMIZA?

 Maybach Music Group

& Press Play ya DJ Choka 

Hii kusema kuumiza kichwa au kucopy hapa bado sijaelewa hata kidogo, jamani kama kuna watu wanaofuatilia muziki basi wajue tupo tunaofuatilia tena ile ile hivyo tusiwe tunacopy sana mpaka cover kama hivi jamani, wapo wengi sana wanaofanya hivyo.

Huu ushauri tu ili tufike walipofika hawa jamaa bila hivyo tutaishia hukuhuku chini.

0 Comments: