Katika kusherehekea Arusha kuwa Jiji,Artists kutoka kaskazini kwa pamoja
wamerecord track pande za noizmekah studios kwa hisani kuu ya Serikali
yaani ofisi ya mkuu wa mkoa na Manispaa ya jiji na nyimbo inakwenda kwa
jina la "Arusha Kilele" inayozungumzia mema na mazuri tele kuhusu Arusha.sikiliza na kudownload hapa kusupport Tanzanian music.







0 Comments:
Post a Comment