Ningependa kuchukua fursa hii kuwasikilizisha remix hii ya Shabang na rapper wa kundi la N-Dubz la Uingereza aitwaye Dappy. Nimeifanya mimi. Shabang ni rapper kutoka Arusha na mwenye uwezo mkubwa lakini hajawa na bahati ya kutoka kama wenzie wa River Camp Soldier akiwemo Joh Makini na wengine. Naamani ukiiskiliza utaipenda. Asanteni.
Sky, 0716971409.






0 Comments:
Post a Comment