R&B Diva Monica Brown akiwa katika kisiwa cha Maui wakila bata na mumwe wake kipenzi ambaye ni mchezaji wa NBA Shannon Brown.
Pia rapper T.I. akitanua pamoja na wanae ambao hawaonekani pichani katika kisiwa cha Water World in Atlanta.
Music exec, kutoka Konvit ambaye ni mdogo wa Akon, Bu Thiam (mwenye fulana nyekundu), VP kutoka A&R wa Def Jam Records, wakiwa wanacheza kadi pamoja na mteja wao mpya ambaye ni mkali wa R&B, Chris Brown, pamoja na music produza Polow Da Don ambaye alifanya vizuri katika kuutengeneza wimbo wa Lil Wayne na Rick Ross If I die Today(John) ambaye yuko nyuma ya kamera.
You ladies will appreciate this peek at Bu’s incredible shoe collection, including at least $20,000 worth of Christian Louboutins alone!
0 Comments:
Post a Comment