Wakati fununu za uongo zikiendelea kutambaa katika mitandao ya udaku na makorokocho mengine, na kupamba magazeti ya udaku nchini Marekani kwa kusema ndoa ya Miranda Kerr na Orlando Bloom imeingia doa na kwamba wako katika utaratibu wa "Divorce" kuivunja.
Miranda Kerr na Orlando Bloom wamekanusha kwa kusema hizo ni habari za uzushi kwani ndoa yao inaendelea vizuri na hawako katika mpango wa kutaka kuachana au kuivunja.
Miranda na Orlando walianza kuwa na mahusiano tangu mwaka 2007 na kufunga pingu za maisha mwaka 201o pia kubahatika kupata mtoto mmoja Flynn Bloon January 2011.
Tuesday, July 24, 2012
ORLANDO&MIRANDA WA KANA UZUSHI
Tuesday, July 24, 2012
No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Comments:
Post a Comment