Producer mmoja wa music Video amemtapeli Nick Minaj kiasi cha Dola 100,000 za kimarekani ambazo ni sawa na Sh Millioni 160 za kimadafu, baada ya kumuahidi Nick Minaj kwamba atasimamia kazi yake ya utengenezaji wa Video ya wimbo wake ujulikanao kama ‘Pound The Alarm’.
Mwizi huyo ambaye ametambulika kwa jina la Ellis Briggs alikubaliana na Nick Minaj kuwa uaandaaji wa Video hiyo alichukua mkwanja huo na pia kusepa bila hata kufanya kazi yoyote.
Tuesday, July 24, 2012
NICKI MINAJ ATAPELIWA SH MIL 160
Tuesday, July 24, 2012
No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Comments:
Post a Comment