Katika bunge leo Mbunge Iddi Azan wa Ilala ameikaanga bodi ya Filamu kwa kutofanya kazi ipasavyo kwa kuachia uingizaji holela wa Filamu ambazo haziendani na maadili ya Taifa letu. Mbunge huyo pia amesema kuna filamu nyingi ambazo zinaingia na tena ikiwemo zile za picha za utupu ambazo zinatapakaa mitaani.
Tuesday, July 24, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Comments:
Post a Comment