Hii nimeona nikisoma mwenyewe haitakuwa fresh kwa sanaa, ila nimeona wenzetu wanamaendeleo ndio maana nikaamua kuiweka hapa na wewe ucheki kiaini.
Wakati watu wanahangaika kujenga vihoteli vidogo vidogo, dubai kutajengwa bonge la Hoteli ambalo litakuwa ni " Underwater Hotel" au The Water Discuss ambayo ndio inasemekana kuwa Hotel ya Kwanza yenye hadhi ya Nyota Tano" Five Stars" kujengwa majini ikiwa na idadi ya vyumba 21. Hotel hii inasemekana kwamba itaweza kunyanyuka juu ya maji, iwapo kutatokea tatizo la Emergency au ikiwa kaitka msimu wa ukarabati.
Soma Zaidi.. link hii
http://travel.yahoo.com/ideas/underwater-tourism--there-s-nowhere-to-go-but-down.html.
0 Comments:
Post a Comment