Friday, July 20, 2012

DUH!! CHEKI HII

Hii kali, lakini sio ukweli, ni Costume ya mwanadada mmoja ambaye atahusika kama changudoa mwenye maziwa matatu katika Filamu ya "Total Recall" ambayo inategemewa kutoka mwishoni mwa mwezi wa nane mwaka huu.
Wapenzi wa Filamu kaeni mkao wa kula.

0 Comments: