Ofisa Uhusiano wa kampuni ya simu za mikononi ya Airtel Jakson Mmbando akiwaonyesha waandishi wa habari bango lenye huduma mpya ya kampuni hiyo inayowawezesha wateja kukopa salio la muda wa maongezi iitwayo Daka Salio. Kushoto ni Meneja wa Matukio Dangio Kaniki.
Tuesday, July 24, 2012
AIRTEL WAJA NA DAKA SALIO..
Tuesday, July 24, 2012
No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Comments:
Post a Comment