Wednesday, July 25, 2012

2012 WORLD UNIVERSITY WEB RANKING YATOA LIST YA VYUO VIKALI AFRICA

Uchambuzi wa Vyuo vikali duniani unaosimamiwa na "World University Web Ranking umetoa majibu ya Top 100 (Vyuo vikali ) katika Bara la Afrika , ila mi nakupa Top 11 instead of Top 10 kwasababu namba 11 imeshikiliwa na UDSM, University Of Dar es Salaam.

Big up, sio mbaya tukiwa namba hii, lakini tukipunguza migomo ya hapa na pale na kuboresha huduma katika swala la sekta ya Elimu huenda tukasogea. Wenzetu kenya University of Nairobi imekamata Pos no: 14, Uganda Makerere University Pos: 18,

Jumla ya Vyuo vikali kwa Tanzania ni Viwili tu ambapo ni UDSM na The Herbert Kairuki Memorial University. Katika chart hiyo, Inaonyesha South Africa inaongoza kwa kuwa na vyuo vikali Kibao takribani vyuo 20 vikali vinatoka South Africa. Hapo sasa juu yako unaamua kusoma wapi?,
1:University Of Cape Town
2:University of Stellenbosch
3:University of Pretoria
4: University of Witwatersrand
5: University of Kwazulu Natal
6: University of South Africa
7: Cairo University
8:The American University in Cairo
9: Rhodes University
10: University Of the Western Cape
11: University Of Dar es Salaam

Kwa list nzima Bofya hapa
http://www.4icu.org/topAfrica/
http://www.4icu.org

0 Comments: