Friday, June 1, 2012

NGOMA MPYA YA AY NA MARCO CHALI YAGHALIMU MIL:30,000,000

Hawa ni baadhi ya warembo watakaopatikana katika wimbo wa AY

Marco Chali akiwa na mrembo mmojawapo katika video hiyo
AY akiwa na warembo
AY akiwa tayari na video hiyo
Hapa wakifanya shooting hiyo
AY akiwa na warembo
Hapa AY akiwa na Godfather mwenyewe pamoja na Marco Chali
AY akijiandaa na video hiyo
Hile video mpya ya msanii Ambwenye Yessaya akimshirikisha Marco Chali inayokwenda kwa jina la Party Zone sasa hiko katika hatua za mwisho za matengenezo yanayofanywa na Kampuni ya Godfather Production ambao wanatisha katika utengenezaji wa kazi za wasanii kama vile P-Square nyingi zinazotamba na hii waliyofanya na Akon ya Chop my Money. Na sasa wako katika kutengeneza video mpya ya Rick Ross.
\
Mashabiki wa AY wakae wasubiri kuiona video hiyo mpya ya Party Zone chini ya Crew nzima ya Godfather.
Godfather uchaji kiasi cha USD 20,000 kwa kila video nje ya mambo mengine.

0 Comments: