Monday, June 11, 2012

NEW Release; FUNGUA - MAKAVULIVE kutoka BONGO RECORDS



Mambo vp Mdau,
Baada ya kimya kidogo, Makavulive chama tunaachia Wimbo mpya tukiwa tumefanya wasanii watatu Dullayo, Mon-G na Joslin ktk Studio za BONGO RECORDS chini ya Producer mwenye mapinduzi makubwa sana ktk Bongoflava industry hapa Tanzania.. P FUNK aka "Majani", pia kuna touch za Guitar zilizopigwa na "Mzungu Kichaa".

Ngoma inaitwa FUNGUA, ipo ktk mchakato wa Project ya Makavulive ambayo inatazamiwa kumalizika mwishoni mwa mwaka huu '2012'. Tunaimani kubwa sana na hii nyimbo kuwa italeta mabadiliko na changamoto ktk muziki Tanzania na East Afrika, hivyo kulipeleka mbele gurudumu la Muziki Afrika.

Thanks,

Dullayo 0719668867


Artist : Makavulive Feat. Joslin
Song Name : Fungua
Producer : P Funk "Majani"
Mixed & Mastered by P Funk
Studio: Bongo Recordz

0 Comments: