Saturday, June 16, 2012

HII NDIO VIDEO YA AY ILIYOKUWA INASUBIRIWA KWA HAMU KUBWAAY ft Marco Chali - Party Zone [Official Video]



Ile Video iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na wapenzi wa Msanii Ambwenye Yessaya "AY" ambayo amemshirikisha Produza Marco Chali" Party Zone" imeshaachiwa hewanii ambayo ilikuwa chini ya wakali wa kutengeneza video Godfather Production ya nchini Nigeria ambao wanasifikia kwa kufanya ngoma kali za wasanii kama vile P-Square, D,Banj na wengine wengi ambayo imemng'alimu kiasi cha Dola milioni 30 za kitanzania akimshirikisha Marcho Chali

0 Comments: