Monday, May 14, 2012

GILLY FT MATONYA~ROHO ZA KOROSHO


Baada ya kushirikishwa kwenye ngoma kali iitwayo Zarumenda akiwa yeye PINGU NA NEIBA,This tym kaamua kuachia Ngoma Yake Kali ile Kinoma iitwayo Roho Za Korosho Akiwa Amempa Shavu la kutosha mkali wa bongo fleva toka nchini TANZANIA Aitwaye MATONYA maarufu TONYA TYM.Nawaomba kwa Dhati Tumpe Sapoti ya Nguvu Huyu Kijana Ili afanye Vizuri Kwenye Industry Ya Muziki Wa BONGO FLEVA Na Kwingineko Kote.Ahsanteni Sanaa



GILLY FT MATONYA~ROHO ZA KOROSHO
STUDIO~MAZUU RECORDS
PRODUCER~MAZUU
CONTACT NUMBER~0652032951

BY LAWIZE ENTERTAINER

0 Comments: