"Toka dar mpaka A-town,2nasaka pound"...ikiwa ndio outro ya dude jipya walorecord wakali toka kundi la "Watuchee" Stamina na Country boy pande za noizmekah arachuga,Pini litadrop anytime baada ya mixing na kutafutiwa jina, Kupitia facebook page zetu,mafans wa karibu wanakaribishwa kushauri juu ya jina litalofaa kwa ngoma hii after kuskiliza chorus yake inavyotambaa hapa...
Tuesday, March 27, 2012
Stamina na Countryboy pande za Noizmekah arachuga
Tuesday, March 27, 2012
No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Comments:
Post a Comment