
Slaiyank toka Quality Brothers aja tena kudhihirisha hiphop never dies,Mc huyu anayewakilisha vema arachuga anamalizia mchakato wa kuandaa album yake ya " Kilicho Bora" pande za noizmekah,Album compilation nimewashirikisha Mc's kibao kama Gnako,Lavosti,Chaba pamoja na BouNakona hapa "Wengi wanaipata ngoma nilowahi kusambaza ya "Haki" ambayo pia ina video,ila kwa sasa nimeamua ku-release officially single ambayo itabeba Hiphop album yangu inayotegemewa hivi karibuni sokoni na Single pia inaitwa "Kilicho Bora"
Tuesday, March 27, 2012
Slaiyank toka QB na Album ya Kilicho bora
Tuesday, March 27, 2012
No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)






0 Comments:
Post a Comment