CoinMoko baada ya ukimya mrefu atimba Arachuga na kufanya pini la "Tupo Kitaa",Joint nimerecord pande za noizmekah.com na nimemshirikisha "Jembe" BouNako kutoka Nako2Nako SoldiersKama inavoeleweka ma fans wangu m\wanaulizia kichiz mziki so i hit the booth and did ma thang man!Much respect kwa wote wanaonisupport katika movement ya hiphop music all over,ShoutOut kwa BouNako,Defxtro na wadau wote promoting Tz music,Subiria mo and more kutoka kwa CoinMOko the Unstoppable & Enjoy tha joint...
Thursday, March 15, 2012
CoinMoko ft BouNako-Tupo Kitaa
Thursday, March 15, 2012
No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Comments:
Post a Comment