Tuesday, March 20, 2012

Chika Ike amfanyia surprises mama yake

chikaikes mum entertainment

Katika jitihada za kufanya mama yake ajione mpya na special ni siku maalumu ya Mother Day, Mwigizaji wa Nollywood, Chika Ike kwa kumshangaza mama yake, kwa kumnunulia gari aina ya Kia Sportage 2012 SUV.

Chika Ike 2 entertainment

0 Comments: