Eneo la tukio la moto soko la Kigoma kibanda namba 16A.
Baadhi ya wananchi wa kigoma mjini wakishangaa.
Afisa wa Jeshi la Polisi Kigoma SSP Francis Mwakabana akitoa maelekezo kwa Askari wakati wa tukio hilo kuhakikisha usalama wa mali za raia.
Polisi wakifanya doria kudhibiti upotevu wa mali usitokee.
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Issa Machibya akitazama juhudi za askari Polisi na Zima Moto wa kuokoa mali na Kufanikiwa kudhibiti moto huo.
Kikosi cha zima moto wakiwa wamefaulu kudhibiti moto huo.
Kaimu Kamanda wa mkoa wa Kigoma SSP Kihenya Kihenya kushoto na Mkuu wa mkoa wa Kigoma Issa Machiya wakikagua ajali ya moto katika Soko hilo.(Picha zote kwa kwa hisani ya Pardon Mbwate na Anamaria Masika wa Jeshi la Polisi Kigoma).
More news visit: http://dewjiblog.com
0 Comments:
Post a Comment