Monday, February 13, 2012

SAJNA's NEW SONG - MBALAMWEZI


Mambo vipi,

Huu ni wimbo mpya wa SAJNA unaitwa MBALAMWEZI, ni wimbo wa mapenzi na unapatikana katika album yake ya IVETA.
Asante sana kwa support unayoendelea kutupatia sisi kama Tetemesha.


SONG DETAILS
:

Track Name: MBALAMWEZI

Singer: SAJNA

lyrics composed by: KID BWOY & SAJNA

arranged by: KID BWOY & SAJNA

Beats Produced by: AMBA

Vocals recorded & Mixed by: KID BWOY

Studio: TETEMESHA RECORDZ


Regards
--
Sandu George (Kid bwoy) CEO/Executive Producer Tetemesha Entertainment e-mail: tetemesharecords@gmail.com Dar es salaam, Tanzania



0 Comments: