Tuesday, February 21, 2012

Msaada wadau

Niaje ndugu zangu? Naombeni sapoti yenu kuitangaza shoo yetu na TMK Wanaume Family itakayopigwa Machi 3, mwaka huu ndani ya ukumbi wa Times Square uliyopo Mbezi Luis, Dar. Kwa mara ya kwanza tangu nilipoamua kurudi kwenye game mwaka juzi mwishoni, siku hiyo nitapanda stejini na kutambulisha ngoma zangu kama Hadithi iliyotoka mwaka juzi mwishoni, Narudi Nyumbani inayofanya vizuri sasa na nyingine kibao. Mwaka huu ni ubishi kwa sana. Pia nawakaribisha ile mbaya. One love.
--
GEORGE MC

TEL: 0715 110 173

0 Comments: