
Bounako Anakanyagia na Brand new Joint alomshirikisha JCB from  Watengwa,Ngoma hii ni exclusive kwa wafuasi wa hiphop all over," title  ya pini ni 'Mara Hoo" ikiwa ni hardcore joint yenye kulenga tabia za  wanafki na ma-snitch,Ngoma hii itatoka sambamba na ile ya "Jembe la  kaskazini" ikiwa ni muendelezo wa harakati za kuuza Tshirt zangu  ,'Nashkuru kwa support nayopata toka kwa wanangu na pia nimesharekodi  ngoma na FidoVato pande za noizmekah.com  chini ya Defxtro, ngoma imepewa jina "I'ma Gangsta",so mchakato mzima  wa mixing ndio unaendelea studio kwahivyo ujio wa collabo hiyo ambayo  pia zipo sauti toka kwa moplus,GeezMabovu,Lavosti Frost na Maspray"  asema BouNako a.k.a. Jembe la Kaskazini...
Wednesday, February 29, 2012
BouNako na JCB ndani ya "Mara Hoo"
Wednesday, February 29, 2012
  
  No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)






0 Comments:
Post a Comment