Thursday, January 5, 2012

Tash Dilida amsaidia Veejay Kukinukisha!!!!!




Msanii toka kaskazini,Veejay anakuja na pini jipya kabisa ambayo ni remix ya "tukinukishe" alowahi kutoa kipindi cha kabla,mwaka huu nauanza kistyle hii na TashDilida aka WakuChapia amenipa taff apo katika verse ya pili kukinukisha.Production nimefanya kwa defxtro pande za noizmekah na pia ii track itakuwepo katika mixtape ya "noizmekah rudstepzz volume one" ambayo itatoka mwezi huu siku za karibuni,Pia track yangu ya "Kimziki Zaidi" nilorekod Kwa Triss pande za Morogoro pale Dirty Mode Records nimeifanyia video kampuni ya NiajeNiaje Kwality chini ya Director HansMachalii ambae anafanya editing sasa so in a few weeks kioo kitakuwa hewani,kikubwa niwatakie Heri ya mwaka tulouanza nategemea kufanya mengi katika muziki wangu,Much respect kwa media zote zinazosupport game la wasanii wa apa hom tz,Much love kwa maproduza wote including Mensen,Triss & Def..!!!!!

0 Comments: