Saturday, January 21, 2012

Sam JO toka pande za kwa mrefu

Round hii anakuja Hiphop Mc Sam JO toka pande za kwa mrefu arusha na pini la "tumekusoma" alorekodi pande za noizmekah.com,project hii ni mojawapo ya ngoma ambazo kwa mwaka huu wa 2012 natarajia mashabiki wangu wanipokee,next project natoa itaitwa "watoto wa kibongo"

0 Comments: