Monday, January 23, 2012

MIN ZIFF RED CARPET NDANI YA NEW MAISHA CLUB

Wasanii pamoja na waandaaji wa filamu,wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kukabidhiwa tuzo zao,kwenye tamasha la Min ZIFF Red Carpet lililofanyika New Maisha Club jijini Dar es Salaam.

Wasanii wa muziki wa kizazi kipya ‘Bongo Fleva’ wa kikundi cha Offside Trick,wakitoa burudani kwa mashabiki wao ndani ya ukumbi wa New Maisha Club wakati wa tamasha hilo la Min ZIFF Red Carpet.

0 Comments: