Sheezy & Gsq toka Tengeru Arusha ambao kwa pamoja wanajiita "Machafuzi Unit" wanakuja na track yoa ya kwanza kabisa inayokwenda kwa jina la "Vita" walorekodi vocals pande za noizmekah.com chini ya defxtro na beat ikiwa ni mkono wao wenyewe,Ngoma hii ya niondoko ya kughani inazungumzia maisha na hustling za machafuzi katika game...Support sana kwa machizi wa street arachuga hiphop city mwanzo mwisho!!!ooooooi
Saturday, January 21, 2012
Machafuzi Unit toka Tengeru Arusha
Saturday, January 21, 2012
No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Comments:
Post a Comment