Monday, January 16, 2012

Jambo squad a.k.a.Mamon'Goo


Machalii ya Ara a.k.a. Jambo squad watoto wa bibi wanafungua mwaka kwa kudrop kwaito jingine "Mamong'oo",Hili dude linazungumzia machalii wa kimasai na mitikasi ya towan kwaio ni idea flan comedy na kwa wakati huo huo kuelimisha jinsi gani kabila la wamaasai linadumisha mila,kimahadhi ni kwaito lilorekodiwa pande za noizmekah.com chini ya producer Defxtro na achalii wa bibi walopita kati ni Nigga C,BaM na Odinari."mashabiki wanatupa sana support na tunashukuru sana,pia ushirikiano tunaopata toka kwa maproducer wetu Defxtro,John B,Dennis Mallya!Media zote pia zinazogonga pini zetu,Video ya disco malapa tuloshoot Grandmaster inamaliziwa na itatoka soon kwahivo wadau wakae mkao wa kubonya!!!!!!!!!


0 Comments: